Chama tawala nchini
Afrika kusini ANC kimepoteza udhibiti katika jiji la Johannesburg ambapo meya
mpya wa jiji hilo Herman Mashamba anatoka chama cha upinzani cha Democratic
Alliance.
Chama
cha ANC kipo madarakani tangu kipindi cha ubaguzi wa rangi nchini humo zaidi ya
miaka 20.
Mashamba ameahidi kubadilisha utawala wa jiji.
Mashamba ameahidi kubadilisha utawala wa jiji.
ANC
ilipoteza majimbo mengi katika uchaguzi wa mwezi uliopita lakini bado ni chama
kikubwa na kikongwe nchini humo.
Source:
BBC
No comments:
Post a Comment