Drake anajua kuuteka
moyo wa Rihanna – kanunua bango kubwa la barabarani na kumuandikia ujumbe wa
pongezi.
Rapper
huyo amechukua uamuzi huo wa kununua moja kati ya mabango makubwa ya barabarani
kutokana na tuzo ya heshima anayotarajiwa kupewa wikiendi hii kwenye tuzo za
MTV VMA. “Congratulations to Rihanna from Drake and everyone at OVO,”
limeandikwa bango hilo.
Baada ya zawadi hiyo, kupitia mtandao wa Instagram, Rihanna
ameandika, “When he extra 
!!!.”
Hivi
karibuni wawili hao wamekuwa wakihusishwa kutoka kimapenzi japo hakuna hata
mmoja kati yao aliyethibitisha hilo.

No comments:
Post a Comment