Clinton waziri wa masuala ya kigeni
wa Marekani kipindi ubalozi wa Marekani nchini Libya uliposhambuliwa.
Patricia Smith na Charles Woods,
ambao ni wazazi wa Sean Smith na Tyrone Wood wamesema kuwa matumizi ya barua
pepe binafsi zilichangia mauaji ya watoto wao.
Msemaji wa kampeni za Hilary Clinton amepinga tuhuma
hizo. Ingawa kamati ya Chama cha Republican inaweka wazi mabaya aliyoyatenda
Hilary, jambo linalo tia doa kampeni zake za Urais.
Uvamizi
wa majeshi ya kiislam katika ubalozi wa Marekani uliwauwa raia wanne wa nchi hiyo akiwemo Balozi Chris Stevens.

No comments:
Post a Comment