Wasanii wa Uganda
wanafahamika kwa utajiri mkubwa walionao ambao mara nyingi hupatikana kwa show
za ndani zisizokauka.
Eddy
Kenzo si msanii wa siku nyingi nchini humo lakini amefanikiwa si tu kuwa na
mafanikio makubwa kuzidi wakongwe ikiwemo kushinda tuzo ya BET, bali pia
kujikusanyia utajiri mkubwa.
Kupitia
Instagram, staa huyo ameuonesha mjengo wake wa kifahari wa Kampala na kuwaacha
mashabiki wakiwa mdomo wazi.
“God above everything.
Autobiography hmmmm. ALHAMDLILAH,” ameandika kwenye picha hiyo juu.
“Ya
Allah! Keep reminding me that the blessings in my life are due to your Mercy
& not my actions. When I get proud, give me a wake up call. Good morning my
lovely people may God bless you all ” ameandika
kwenye picha nyingine.
Muimbaji
huyo ambaye jina lake halisi ni Edrisa Musuuza, alianza kujipatia umaarufu
mwaka 2014 kwa wimbo

No comments:
Post a Comment