Tukio hilo limewadia , siku tano
baada ya kasisi wa kanisa hilo , kuuawa na wapiganaji wa Kiislamu.
Makanisa sehemu mbali mbali za Ufaransa, yaliwaalika
WaIslamu wajumike nao kwenye maombi leo, kuonesha wanakanusha mauaji hayo.
Mauaji ya hivi karibu kabisa
yaliyotekelezwa na wapiganaji wa Kiislamu, yameshtua Ufaransa.
Kasisi huyo wa umri wa miaka 86, Kasisi Jacques Hamel, aliuwawa akiwa
kwenye maombi.
No comments:
Post a Comment