Mlimbwende wa kizungu
anayemshutumu Chris kuwa alimtishia bunduki usoni, ana historia ya udokozi na
anatafutwa kwa wizi kwenye hoteli ya The Plaza.
Baylee
Curran, 25, alishtumiwa kumuibia rafiki yake, Rachel Getachew, 29, begi lake la
Louis Vuitton likiwa na wallet ya Michael Kors ya $1,000 pamoja na fedha
taslimu $200. Tukio hilo lilitokea mwaka 2013.
Jumanne,
Curran alimshutumu Chris Brown kumtishia bunduki nyumbani kwake. Brown
alikamatwa baada ya polisi kuizunguka nyumba yake kwa madai ya kutishia kwa
silaha nzito.
Yupo
nje kwa dhamana ya $250,000.

No comments:
Post a Comment