Madalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Freeman Mbowe na Kuanza Kutoa Vitu Nje - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 1 September 2016

Madalali wa NHC wavamia ofisi ya gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Freeman Mbowe na Kuanza Kutoa Vitu Nje

   
Madalali wa NHC wamefika katika ofisi za gazeti la  Tanzania Daima asubuhi hii na kuanza kutoa vifaa ofisini kutokana na deni la pango la mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe.



Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima, Neville Meena amesema wako kwenye msukusuko mkubwa lakini wanafanya jitihada za kukabiliana na hali hiyo ili kuhakikisha uzalishaji wa gazeti unafanyika kama kawaida.
   

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here