Waswahili wanasema
ushemeji haufagi.. lakini staa wa Singeli, Man Fongo aliongezea zaidi kwa
kusema ‘hakunaga ushemeji tunakulaga.’
Na
sasa msemo huo maarufu umepigiwa chapuo na roho ya Diamond, Mama T mwenyewe,
Zari.
Akipost picha ya ex wake, Ivan aliyezaa naye watoto watatu akiwa na mdogo wake, Zulekha Ijumaa iliyopita, Zari aliandika: It’s flash back Friday akuna ushemeji tunakulaga #ZariAllWhiteParty plse correct my Swahili.”

Je!
hiyo inamaanisha kuwa Zari amempa ruksa Ivan kujilia shemeji yake akitaka?
Picha
hiyo hata hivyo, imeonesha kuwa hakuna uadui wowote uliopo sasa kati ya Zari na
Ivan hasa kwakuwa bado watoto wao wanawaangunisha na wameendelea kumiliki
baadhi ya biashara zao pamoja.

No comments:
Post a Comment