Mgombea aliyeshindwa Jean Ping
amewasilisha kesi hiyo mahakamani akilalamikia udanganyifu.
Rais Ali Bongo alitangazwa mshindi
wa uchaguzi huo wa Agoti 27 kwa tofuati ndogo ya chini ya kura 6000.
''Iwapo mahakama itageuza matokeo
hayo, itakuwa mara ya kwanza mahakama inabatilisha matokeo ya uchaguzi wa urais
baranai Afrika'', anasema Robert Gerenge, mkuu wa miradi maalum katika taasisi
ya uchaguzi ya demokrasia endelevu Afrika.
No comments:
Post a Comment