Romy Jons amefunguka
chanzo cha Diamond kushindwa kuhudhuria kwenye sherehe yake ya kuzaliwa ambayo
imezua tetesi za wawili hao kutoelewana.
Akiongea
kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM Jumamosi iliyopita, Romy alisema,
“People don’t understand, halafu huwezi kumuelewesha kila mtu.”
“Ile
ilikuwa ni party ambayo kila mtu alitakiwa aje afurahi, lakini at the end of
the day kuna watu lazima watoke WCB waje. Sallam akanipigia simu kuwa huku kuna
session watu wanarekodi lakini wakina Ray na wengine watachelewa kuja ila
Nassib atabakia halafu atakuja,” ameongeza.
“Ray
na Rich wamekuja pale saa tisa na nusu. At the end of the day Chibu na yeye
anapiga simu kama saa kumi na nusu au 11 hivi mshamaliza? Can I come?
Nikamwambia ukija labda tukusanye hela tu za mlangoni. Kwahiyo alikuwa studio
kuna session anamalizia.”
No comments:
Post a Comment