
Waendesha mashtaka wa Afrika Kusini, wamekataa rufaa mpya wakitaka
kuwepo hukumu kali zaidi kwa Oscar Pistorius.
Mwanariadha huyo mlemavu, alihukumiwa kifungo cha miaka
sita kwa kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp nyumbani kwake kwenye Valentine’s
Day, 2013.
Mwanzo kabisa alitumikia kifungo cha mwaka mmoja kati ya
miaka mitano aliyokuwa amehukumiwa kwa kuua bila kukusudia, kabla ya hukumu
kubadilishwa kuwa ya mauaji.
Waendesha mashtaka wa South Africa’s National
Prosecuting Authority (NPA) wanataka apewe kifungo kirefu zaidi.
Reeva Steenkamp alikuwa na miaka 29 wakati anakufa.
No comments:
Post a Comment