Leo kupitia Orest Ngowi tutakufahamisha
mambo muhimu ambayo mwanamke anapenda kutoka kwa mwanaume wawapo faragha;
1. MAANDALIZI
Mapenzi yanahitaji maandalizi kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na
kulainisha sehemu zake vizuri tayari kwa kuburudika! Endapo hautoweza kumuandaa
vizuri mwanamke wako basi tendo zima hugeuka kuwa la maumivu, kutakuwa hakuna
burudani yoyote pale zaidi ya misuguano ambayo itawaletea maumivu.
2. MAONGEZI YA MAHABA
Mwanamke anapenda sana haya maongezi! huwa anapatwa na hamu sana anaposikia
kuwa unatamani kumridhisha, Mwambie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba
lengo lako ni kumpa utamu usio elezeka.
3. MUULIZE KITU GANI
ANAPENDA MUWAPO FARAGHA
Ni kweli kila mwanamke anautofauti lakini Njia pekee ya uhakika ya kujua nini
mwanamke wako anapenda kutoka kwako ni kumuuliza na Udadisi wako unaweza
pia kumfanya akutamani zaidi, jiamini uwapo mbele ya mpenzi wako, usiogope
kuzungumza naye,kumweleza jinsi ufuraiavyo penzi lake.
4. UWE WA MWISHO KUMALIZA
Kawaida wanawake huchelewa sana kutosheka kimapenzi zaidi yawanaume, ni
wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata
kabla dakika 8 hazijafika! sasa hapa ndio wengi wanafeli inabidi Mwanaume uwe
wa mwisho kumaliza ili uwe mshindi maana sio kazi rahisi hadi mwanamke
kukwambia.
CHA KUONGEZEA NI HIVI
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke
kimapenzi,unaweza kuwa mtanashati lakini kitandani zero, mapenzi ni udadisi na
utundu zaidi.
No comments:
Post a Comment