Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ivory Coast,
Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kuumia goti.
Hili
ni pigo kwa Jose Mourinho ambaye Bailly amekuwa ni beki tegemezi katika kikosi
chake cha United.
Bailly atakapo rejea uwanjani baada ya miezi hiyo miwili, huenda akaenda
kujiunga na timu yake ya taifa katika michuano ya AFCON.
No comments:
Post a Comment