Msanii wa Bongo Flava, Lulu Diva amesema si kweli kwamba uzuri wake ndio ulipelekea kupata nafasi ya kazi zake kusimamiwa na Main Switch ya Kenya
Muimbaji ameimbia Planet Bongo ya EA Radio kuwa hakumshawishi mtu yeyote kumpatia hiyo nafasi na kwake ilikuja kama surprise hata menejimenti yale ilikuwa haijui.
“Kile kitu kilikuja kwetu lakini ilikuja kwa sababu waliona kuna kitu cha ziada kwa Lulu Diva na kuna nguvu ambayo yeye anaifanya, when come to work mimi nafanya kazi katika hali ya serious, kwa hiyo kile kitu wamekiona kwangu,” amesema.
Kuhusu show aliyoifanya nchini humo na kuleta maneno mengi kuhusu kivazi chake alisema, “sema kama wamemaindi vitu vidogo sana, hapana kutoka walivyona yale mapaja malaini, hayana madoa na nini”.
No comments:
Post a Comment