Faiza Ally amuweka Kiporo Hamisa Mobetto, awafumua Team Wema, asema wanatamani Maisha ya Zari ndio sababu ya Kumchukia - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 20 September 2017

Faiza Ally amuweka Kiporo Hamisa Mobetto, awafumua Team Wema, asema wanatamani Maisha ya Zari ndio sababu ya Kumchukia

Faiza Ally amuweka Kiporo Hamisa Mobetto, awafumua Team Wema, asema wanatamani Maisha ya Zari ndio sababu ya Kumchukia, amsifia Diamond. Faiza ameandika.... .

"Nje na ndani ya nchi watanzania wana sifa za ukarimu lkn kwenye uhalisia wana sifa za umbea na chuki na uovu wa chini kwa chini. hlf wanawake wana asili ya uma** ya mnisamehe lkn maana hata ktk safari zangu za maisha ma**la wengi ni kutoka East Africa ni watanzania , wanaona  issue za Mabwana na wanaume ndio mpango wkt kuna mipango zaidi ! Na ndio maana hata ukiachana na mtu unaonekana labda u*hi mmbaya au tabia mbaya maana hawana fikra zaidi ya wanaume ..."

Ameandika na kuendelea "Tukirudi kwenye mada mimi naona zari mnamuonea nyie team wema ndio mliobadilika kusapoti ujinga mnasahau wema ndio alimuacha diamond , hamna mapenzi yoyote na hamisa waongo tu Ila kiukweli mnaweza kuua bila kujua mnaua kwa sababu ya team..." ameangia ndani zaidi kwa kusema

"Kiufupi mna weza mkahisi labda simpendi hamisa au nampenda zari hapana , yaani sijawahi kuwapenda wala kuwachukia lkn nikisimama kama mwanamke sisapoti kinacho endelea zari ni mwanamke kama wengine wote , hamisa ni mwanamke lkn bado mtoto mnajaza ujinga na hamta kuwepo wkt atakapo kuwa na maumivu ... na hamisa Ana jazika kuona labda uzuri wake uta last forever ! Hebu acheni upumbavu." "anyway, nikirudi kwa diamond nimemsifu amesimama kwenye ukweli nimefurahi sana na nimemfurahia hamisa pia maana najua uchungu wa mtoto kukosa baba, hata Kama Ana makosa lkn mtoto hana kosa lkn nimefurahi zaidi diamond kuwa mwananume enough ku simama kwa ajili ya familia yake na mapenzi yake kwa zari !" amesisitiza "Sasa ktk swali nililo uliza hapo juu jibu ni hili ! Zari mzuri,zari kijana, zari Ana maisha mazuri , zari star , zari Ana mume star. Zari Ana watoto wa zuri zari Ana almost kila kitu kizuri nahisi hadi Dudu lake zuri na hichi ndio kinacho wa fanya mmchukie for no good reason na wote mnao mchukia mnatamani maisha yake lkn mnasahau Mungu amemchagua, " "kiukweli hakuna kama zari na akija itakua zilipendwa lkn kwa sasa zari ndio star mwanamke east Africa nzima na sio star njaa... ndio maana mna mnafurahia matatizo yake !

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here