Aliyemzaba kofi Justin Timberlake akamatwa - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, 27 July 2016

Aliyemzaba kofi Justin Timberlake akamatwa


Mtu anayedaiwa kumzaba kofi msanii Justin Timberlake katika mchuano wa gofu katika Ziwa Tahoe huko Nevada amekamatwa.

Katika kanda ya video iliopatikana na mtandao wa TMZ,Justin anaonekana kupita katikati ya watu kabla ya mkono wa mtu kuonekana ukimgusa upande mmoja wa uso wake.
Justin aligeuka na kumuuliza, ndugu mbona ufanye kitendo kama hicho?

Walinzi wake walimvuta msanii huyo mwenye umri wa miaka 35 lakini baadaye akaonekana akizungumza na mshukiwa huyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here