Katika
tamaduni nyingi kote duniani mwanamke anapoolewa huwa ni fahari kubwa sana
akiwa ni bikira.
Mathalan ni dhihirisho la mwanamke kuwa amelelewa na kutunzwa vyema.

Ni dhihirisho la usafi.
Hata hivyo jamii moja nchini Malawi haithamini ubikira wa watoto
wao wa kike.
Amini usiamini wazazi huwa wanamlipa ”Fisi” kumbikiri binti yao punde tu anapopata hedhi yake ya kwanza.

Aniva huchemsha mizizi hiyo kabla ya kuanza kubikiri watoto kwa takriban siku 3 hivi
Wanaamini kuwa binti ambaye ni bikira ni mkosi kwa jamii!
Malimwengu haya.
Wazazi na jamii kwa jumla katika maeneo mengi ya kusini mwa
Malawi wamekuwa wakishikilia tamaduni hii kwa miaka na mikaka.
”Fisi” ama wanaume wanaowabikiri watoto wa kike huchaguliwa na wazazi kuwaondolea mikosi.

Na huwa ni sherehe kubwa inayomtangulia binti kupelekwa unyagoni
kisha kuwatembelea shangazi wake kabla ya kujulishwa kwa fisi.
Amini usiamini hao mafisi hulipwa takriban dola $7 kwa kila kitendo cha ngono na hao mabinti ambao wengi huwa na kati ya umri wa miaka 11-14.

Fisi mmoja katika kijiji cha Nsanje, Eric Aniva ameiambia BBC kuwa
hajui kwa kweli amewabikiri wasichana wangapi, kwa sababu ni wengi.
”Kwa kweli mimi nimewabikiri zaidi ya wasichana 104,” amesema.
”Hii ndiyo tamaduni yetu”.
Aniva na familia yake
Na huwa ni sherehe kubwa inayomtangulia binti kupelekwa unyagoni
kisha kuwatembelea shangazi wake kabla ya kujulishwa kwa fisi.
Amini usiamini hao mafisi hulipwa takriban dola $7 kwa kila kitendo cha ngono na hao mabinti ambao wengi huwa na kati ya umri wa miaka 11-14.
Fisi mmoja katika kijiji cha Nsanje, Eric Aniva ameiambia BBC kuwa hajui kwa kweli amewabikiri wasichana wangapi, kwa sababu ni wengi.
”Kwa kweli mimi nimewabikiri zaidi ya wasichana 104,” amesema. ”Hii ndiyo tamaduni yetu”.

No comments:
Post a Comment