Msanii wa muziki wa Hip
Hop, Kala Jeremiah ameshoot video ya wimbo wake ‘Wana Ndoto’ ambayo inatarajiwa
kutoka tarehe 26 mwezi huu.

Rapper huyo ambaye alikuwa
kimya kwa muda mrefu, amesema video ya wimbo ‘Wana Ndoto’ inakuja kurudisha
matumani kwa mashabiki wake ambao walimiss kwa muda mrefu. Angalia picha



No comments:
Post a Comment