Mashabiki wa muziki
katika mitandao ya kijamii wazipokea kiutofauti picha zinazomuonyesha msanii wa
muziki kutoka TKM Wanaume Family, Temba akiwa amefunga ndoa.
Temba akiwa na mrembo kutoka
Afrika Kusini.
Huwenda ikawa sio kweli kama mashabiki katika mitandao ya
kijamii wanavyozungumza kutokana na rapper huyo kuonekana hivi karibuni akiwa
na director Justin Campos wa Afrika Kusini.
Wiki moja iliyopita, Mkurugenzi wa TMK Wanaume Family, Mkubwa
Fella alitoa taarifa kwa mashabiki wa muziki kwamba staa huyo anaelekea nchini
Africa Kusini kuandaa kazi mpya.
Kupitia ukurasa wa instagram, msani wa kundi la TMK Wanaume
Family Chege aliandika:
Naomba sana nisaidieni kumpa hongera amani
james kwa jambo hili la kheri
HONGERA sana bro Temba.
HONGERA sana bro Temba.
Baada ya kauli hiyo, mashabiki katika mitandao ya kijamii
wamekuwa na maoni tofauti juu wa picha hiyo.
Mwigane
_Jamani eeh? Uyu jamaa. Si” arishaoa? Au hiyo ni video ya wimbo?
_Jamani eeh? Uyu jamaa. Si” arishaoa? Au hiyo ni video ya wimbo?
Salehenemganga579
Kweli jamani alioaga uyu.duh nas anakipaji.tena alioaga kiti
kama st joseph au st alban dah
Allie_kb
Hii ni nyimbo bila shaka maana @mhtemba alishaowa kipind cha
nyuma
tathriba_
mmhhh watu hawataki kutoa kiki wameshtuka

No comments:
Post a Comment