Madee awapa usia huu Dogo Janja na Raymond - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 21 July 2016

Madee awapa usia huu Dogo Janja na Raymond

Madee amewakumbusha Dogo Janja na Raymond wasisahau walipotoka.
13741075_262350770808542_1945286265_n
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Madee ameandika:
HUSIA KWA WANANGU/c mnakumbuka kule tumetoka eeh…si mnakumbuka tulivokua tunakula eeh..c mnakumbuka tulivokua tunalala een…c mnakumbuka tulivokua tunachekwa eeh..sasa hawatucheki wanatushangilia. .msidanganywe na mliowakuta mjini..haswa marafiki wakike fake na wakiume fake..nafasi zenu zinagombaniwa na watu wengi..mkizubaa tu wamezichukua..fanyeni maisha kwanza!!! Mimi najivunia nyinyi @dogojanjatz@rayvanny #vyutivimekaa

Wawili hao wamekuwa ni kama watoto wa Madee kwa sababu ndiye aliyewasaidia kuushawishi uongozi wa kundi la Tip Top kuwapokea kwa mara ya kwanza.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here