(Picha) Cristiano Ronaldo, mama yake na mwanae wala bata Ibiza - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 14 July 2016

(Picha) Cristiano Ronaldo, mama yake na mwanae wala bata Ibiza

Baada ya ushindi kinachofuata ni kusherehekea. Na hakuna sherehe nzuri kama unapomchukua mama yako mzazi na mwanao kuwapeleka kwenye kisiwa cha raha duniani, Ibiza, Hispania.363E18F200000578-3689023-Well_deserved_Cristiano_Ronaldo_31_recovered_from_Portugal_s_Eur-a-55_1468443769568

Mchezaji huyo wa Real Madrid na Ureno iliyoshinda kombe la Ulaya majuzi ameenda kisiwani humo kwa mapumziko anayoyatumia kula bata kwenye yacht
363E10E600000578-3689023-In_safe_hands_The_yacht_s_crew_were_on_hand_to_oversee_proceedin-m-59_1468443871911
Jumatano hii ameonekana akichomwa jua la Ibiza ndani ya yacht ya kifahari akiwa na mama yake Delores na mwanae, Cristiano Jr. Kuonesha kuwa tamaduni zetu na zao ni tofauti, Ronaldo ameonekana kwenye picha hizo za mapaparazi akiwa na kipensi kifupi huku mama yake akiwa ndani ya bikini tu.
363E117200000578-3689023-image-a-16_1468441378588

. Kwenye picha nyingine Ronaldo anaonekana akifanyiwa massage na mama yake.
363F7BAA00000578-3689023-image-a-165_1468454431319
363E1B6B00000578-3689023-image-a-20_1468441563263
363E5C3C00000578-3689023-image-a-12_1468441114415
363E10F600000578-3689023-image-a-27_1468442475495
363E57F400000578-3689023-image-a-13_1468441154606
363E107700000578-3689023-image-a-29_1468442521570
363E181100000578-3689023-image-a-14_1468441178538
363F7A8E00000578-3689023-image-a-157_1468453403761
36400B2000000578-3689023-image-a-167_1468455371246
363F7BE600000578-3689023-image-a-162_1468454347944

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here