Kocha huyu anachukua nafasi
iliyoachwa na Gerardo "Tata" Martino aliyejiuzulu baada ya kumalizika
kwa michuano ya kombe la Copa America.
AFA walimtangaza kocha huyo baada
ya klabu ya Sao Paulo kukubali kumuachia kocha huyo kwenda kukinoa kikosi cha
timu ya taifa ya Argentina.
Bauza, mwenye umri wa miaka
58,alikua kocha mkuu mkuu wa klabu ya Sau Paulo toka mwaka 2015 na kuisaidia
kufika nusu fainali ya michuano ya Copa Libertadores.
Makocha waliokua wakipewa nafasi ya
kukinoa kikosi hicho ni Jorge Sampaoli Marcelo Bielsa
No comments:
Post a Comment