Rapper Birdman na lebo yake ya Cash Money wamesaini mkataba na kampuni
ya music ya Apple.
Huu ni mkataba wa kwanza wa kampuni hiyo kusaini
kusambaza kazi za lebo tofauti na ilivyozoeleka wamekuwa wakisambaza kazi za
msanii mmoja mmoja pekee.
Hata hivyo mkataba huo hautawagusa Lil Wayne na Nicki
Minaj kwa kuwa wao walishasaini mkataba muda mrefu na kampuni ya Tidal ya Jay
Z.
Wasanii wengine wanaomilikiwa na kampuni hiyo ya Apple
Music ni pamoja na Drake, Taylor Swift, DJ Khaled, Future na wengine wengi.

No comments:
Post a Comment