Ronaldo ametangazwa
kuwa mwanasoka bora wa Ulaya baada ya kuwashinda wachezaji wengine wawili ambao
wote wanatokea katika timu za jiji la Madrid nchini Hispania tuzo hizo
zilitolewa Nchini France katika mji wa Monaco.
Katika
Kura zilizopigwa na waandishi 55 wanachama wa UEFA katika Tuzo ya Mchezaji Bora
wa Ulaya 2015/2016 matokeo yamekuwa hivi
Cristiano
Ronaldo – 40
Antoine
Griezmann – 8
Gareth
Bale – 7
Mshambuliaji
wa Olympique Lyon na timu ya Norway Ada Hegerber ameshinda tuzo ya Mchezaji
Bora wa Ulaya kwa upande wa Wanawake 2015/2016

No comments:
Post a Comment