
Mapigano makali yanaendelea kati ya
polisi na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi eneo la Vikindu, wilaya ya
Mkuranga, mkoa wa Pwani asubuhi hii.
Magari ya polisi (defenda) zaidi ya
16 yamefika eneo la tukio huku polisi wakiwa wameshika silaha zao kwa umakini
mkubwa.
Kadhalika, magari yanayokwenda
maeneo ya Vianzi Mkurang, Malela, Pemba Mnazi, Mfuru yamefungwa kutokana
na mapambano hayo.

No comments:
Post a Comment