Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa Kahama mara baada ya kuwasili
akitokea Nzega mkoa Tabora.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akicheza jukwaani wimbo wa kwaya ya Haleluya Kuu kutoka
Kanisa la KKKT- Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga kabla ya Kuhutubia mamia ya
wakazi Kahama mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa zamani wa Kahama James Lembeli mara
baada ya kuwasalimia wananchi waliofika kwa ajili ya kumsikiliza Rais katika
viwanja hivyo vya Kahama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mamia wa wakazi wa Isaka mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na Mbunge wa zamani wa Kahama James
Lembeli ambaye ni mwanachama wa Chadema mara baada ya kumaliza kuhutubia
mkutano mjini Kahama mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akicheza pamoja na Wanakwaya wa Haleluya Kuu kutoka Kanisa
la KKKT- Usharika wa Yeru Ndala Shinyanga mara baada ya kumaliza kuhutubia
mkutano Kahama mjini mkoani Shinyanga.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akifurahia mara baada ya kuoneshwa picha na kijana mmoja
aliyeishika picha hiyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wakazi wa Tinde mkoani Sinyanga. PICHA
NA IKULU
No comments:
Post a Comment