Ommy Dimpoz akiwa na models location Afrika Kusini
Baadaye Ommy alikuja
kupost picha tatu ikiwemo hiyo juu ya kwanza na kuiweka hashtag ya #Kajiandae
hali inayoonesha kuwa ni wimbo wa pamoja wa wawili hao. Kuna kila dalili kuwa
video hiyo imefanyika Afrika Kusini.
Hii haitakuwa mara ya
kwanza wawili hao wanafanya wimbo pamoja. Ommy alimshirikisha Alikiba kwenye
wimbo wake Nai Nai uliomtambulisha kwenye muziki wa Tanzania.

No comments:
Post a Comment