Kuna wimbi kubwa la
wasichana wanaojihusisha na vitendo vya usagaji.
Malkiz
aka Kizz Kiduku ni msanii chipukizi wa filamu Tanzania anayefahamika wazi
kujihusisha na vitendo vya kisagaji. Hivi karibuni alikaa na kuzungumza na
Global TV na kusimulia jinsi alivyoanza mambo hayo.
Alidai
kuwa yote yalianza akiwa shuleni Mwanza ambako kama msichana aliyebalehe
alikuwa akipata hamu ya kufanya mapenzi lakini hakuwa na mwanaume wa kuikata.
“Nikisikia hamu ya kufanya mapenzi kila nikiangalia nakutana na wanawake,”
alisema Malkiz kwa kujiamini na kudai kuwa alilelewa kwenye mazingira ya
kukutana na wasichana muda wote ambayo anakiri ilimharibu.
Alienda
kusoma Kibaha alikokuwa boarding pia na huko ndio akaanza kujihusisha na
vitendo hivyo. “Tukajiingiza kwenye vitu kama hivyo na as days go on nikajikuta
nakua na hata nikiwa na wanaume sifeel chochote,” alisema Malkiz mwenye miaka
19 sasa.
Anadai
kuwa amewahi kuwa na uhusiano na wanaume zaidi ya 20 lakini bado hakuwa anapata
hisia kama mwanamke wa kawaida na kwamba alijaribu kuacha lakini alishindwa.
Anasema
hadi sasa ameshakuwa na uhusiano na zaidi ya wanawake 40 na wengine humfuata
wao wenyewe.
“Watu
wakubwa, miaka 25, 27 kuanzia huko.”
Msichana
huyo amedai kuwa wapo wake za watu kibao wanaomtaka na amewahi kutembea na
takriban wawili huku akivunja ndoa ya mmoja wao

No comments:
Post a Comment