Q Chief adai Jokate alitosa kutokea kwenye video yake ‘alitaka sifuri nyingi’ - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 16 August 2016

Q Chief adai Jokate alitosa kutokea kwenye video yake ‘alitaka sifuri nyingi’

  
Q Chief hamwezi Jokate Mwegelo. Ni kwasababu anadai imeshindikana kumtumia kwenye video yake kutokana na kile muimbaji huyo amedai mrembo huyo alitaka alipwe ‘six figures.’

Chief ambaye jina lake halisi Abubakar Katwila amedai kuwa amemtaja Jojo kwenye wimbo huo na kwamba ingemake sense kama angeonekana pia kwenye chupa lakini akawa ‘very expensive.’
Akiongea na E-News ya EATV Jumatatu hii, Chief alisema kuwa Jokate ni classmate wake hivyo alitarajia angemlegezea bei lakini Jojo only means business.
Pamoja na hivyo, muimbaji huyo anayejiita ‘Mungu wa Bongo Flava’ amedai kuwa anaheshimu uamuzi wa Jokate na ameongeza kuwa hawezi kuuondoa ukweli kuwa ni mtoto mkali.

Hivi karibuni Q alishoot video mpya na Justin Campos na kudai kuwa itawashangaza wengi.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here