Ryan Lochte apoteza mikataba minne ya udhamini - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, 23 August 2016

Ryan Lochte apoteza mikataba minne ya udhamini

Kampuni ya uogeleaji ya Speedo ilikuwa ya kwanza kusitisha mkataba wake
Muogeleaji wa Marekani Ryan Lochte amepoteza mikataba yake yote minne ya udhamini baada ya wenzake watatu kudanganya kuwa waliibiwa na wezi waliokuwa na silaha katika michuano ya Olimpiki iliyofanyika mjini Rio.

Kampuni ya uogeleaji ya Speedo ilikuwa ya kwanza kusitisha mkataba wake ikifuatiwa na Luxury retailer, Ralph Lauren, The Skin Care company,na Kampuni ya matress na Airweave.

Lochte bado anakabiliwa na mashitaka ya kujibu kwa mamlaka ya michezo nchini Brazil ikiwa ni uhalifu pamoja na utovu wa nidhamu.
Lochte bado anakabiliwa na mashitaka ya kujibu kwa mamlaka ya michezo nchini Brazil
Mwandishi wa BBC amesema kuwa muogeleaji huyo anaweza kutokushiriki kabisa mashindano mengine ya kuogelea.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here