Update: Majambazi Kadhaa Yauawa Katika Mapigano na Jeshi la Polisi huko Mkuranga - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, 26 August 2016

Update: Majambazi Kadhaa Yauawa Katika Mapigano na Jeshi la Polisi huko Mkuranga

           
Majambazi ambao idadi yao haijajulikana wanadaiwa kuuwawa katika mapigano hayo kati yao na polisi huko Vikindu, wilaya ya Mkuranga leo.


Milio ya risasi na mabomu vilisikika kuanzia saa saba usiku katika eneo hilo ambalo majambazi hayo walikuwa wamejificha.
 

Habari zilizotufikia hivi punde, zinaeleza kuwa Polisi wameweka kizuizi cha barabara eneo la Kongowe, wilayani Mkuranga ambapo  magari yote yanayotoka na kuingia Dar yanapekuliwa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here