Diddy aongoza tena orodha ya mastaa wa Hip Hop matajiri - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 8 September 2016

Diddy aongoza tena orodha ya mastaa wa Hip Hop matajiri

   Sean "Diddy" Combs arrives at The Weinstein Company & Netflix after party after the 71st annual Golden Globe Awards in Beverly Hills, California, January 12, 2014. REUTERS/Danny Moloshok
Forbes wametoa orodha mpya ya mastaa was Hip Hop matajiri zaidi duniani. Bosi wa lebo ya Bad Boy, Diddy bado anaendelea kuongoza orodha hiyo kwa kuingiza kiasi cha dola milioni 62 katika kipindi cha mwaka mmoja.
Kwenye orodha hiyo pia yupo rapper wa kike Nicki Minaj.

Hii ni orodha nzima:

1. Diddy – $62 million
2. Jay Z – $53.5 million
3. Dr. Dre – $41 million
4. Drake – $38.5 million
5. Wiz Khalifa – $24 million
6. Nicki Minaj – $20.5 million
7. Pitbull – $20 million
8. Pharrell Williams – $19.5 million
9. Kendrick Lamar – $18.5 million
10. Birdman – $18 million
11. Kanye West – $17.5 million
12. DJ Khaled – $15 million
13. A$AP Rocky – $14.5 million
14. J. Cole (Tie) – $14 million
14. Lil’ Wayne (Tie) – $14 million
14. Macklemore & Ryan Lewis (Tie) – $14 million
17. Snoop Dogg $12.5 million
18. Eminem – $11 million
19. Swizz Beatz – $10.5 million
20. Ludacris (Tie) – $10 million
20. Rick Ross (Tie) – $10 million

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here