Esma Platnumz Akiri Kupagawa Sana na Penzi la Petit Man Awaomba Nyaku Nyaku Wasimyakue - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 15 September 2016

Esma Platnumz Akiri Kupagawa Sana na Penzi la Petit Man Awaomba Nyaku Nyaku Wasimyakue

   
Dada wa Diamond ameamua kufunguka ya moyoni na kudai anampenda sana mume wake Petit Man ambae walitengana kwa muda kutokana na kutokuelewa hapa na pale lakini kwa sasa inaonekana wameweka mambo sawa...Ameandika haya kwenye ukurasa wake 

_esmaplatnumz
Baby dady mkimuona mwambieni mi Nampenda tuu ukiniuliza hata sijui... kuna wakati unaweza kufichaficha au kujionesha hupendi au ukajikaza usiseme unachojisikia kusema but mi naona bora uwe muwazi ili roho yako Iwe na Amani... Jamani mi Nampenda huyu kaka plz nyakunyaku kuweni makini huyu mi nahisi km kafika kigoma mwisho wa reli...na natania msije nikomoa...hamchelewi...

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here