Kanye West ameonyesha
bidhaa yake mpya ya viatu vyake vya Yeezy kwa watoto kupitia kwa mwanae Saint
West.
Viatu
hivyo vinapatikana kwa watoto kuanzia miezi 8 na kuendelea kwa kiasi cha $130
kwa pea moja.
Siku
cheche zilizopita rapper huyo alifungua maduka 21 ya muda kwenye nchi tofauti
ambayo yaliuza bidhaa zake huku moja kati ya maduka hayo lilikuwa nchini Afrika
Kusini.

No comments:
Post a Comment