Rais wa jamuhuri ya
muungano wa Tanzania Magufuli akiwa ameambatana na mkewe mama
Janeth,wakisalimiana na wenyeji wao mara baada ya kuwasili Pemba mapema leo kwa
ziara ya kikazi ya siku mbili visiwani humo,ambapo hapo baadae ataelekea Unguja
kuendelea na ziara yake ya kikazi .
Rais Magufuli akitazama kikundi cha ngoma baada ya kutua Pemba ambapo
pia ameenda kuzulu kaburi la aliyekuwa Makamu wa Rais, Dk Omary Ali Juma.
Baadaye saa tisa alasiri atafanya mkutano wa hadhara katika uwanja wa Gombani
ya Kale, Pemba. Picha na Ikulu

No comments:
Post a Comment