Izzo Bizness na Ycee (Nigeria) warekodi wimbo pamoja - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, 1 September 2016

Izzo Bizness na Ycee (Nigeria) warekodi wimbo pamoja

   14031712_233138327083912_2012424267_n
Izzo Bizness na Abela Music wanaounda kundi la The Amazing, Jumatano hii waliingia studio kurekodi wimbo pamoja na msanii wa Nigeria, Ycee.
Watatu hao waliingia studio Jumatano hii jijini Dar es Salaam. Ycee alikuwa Dar kwa siku tatu kwaajili ya media tour na kukutana na wasanii wa Tanzania.

“Done!!!thanks a lot hommie @iam_ycee its been a pleasure working with you #TheAmazing #ontothenextone,” ameandika Izzo kwenye picha akiwa na staa huyo wa Omo Alhaji.
                    14156580_1686353731691813_594018656_n
Project hiyo imesimamiwa na producer Duppy. Ycee ameondoka leo kwenda Afrika Kusini.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here