
Mara nyingi mtu
wako wa karibu anapokuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa, ni muhimu kumpa
ujumbe muhimu kuonesha jinsi alivyo na maana kwako.
Vanessa Mdee
ametumia siku ya kuzaliwa ya mpenzi wake, Jux kumwandikia ujumbe muhimu
kudhihirisha ni kwa kiasi gani anampenda. Ametumia pia fursa hiyo kuutaja wimbo
wao wa pamoja, Juu. Usome:
"When we
first met I was an upcoming songstress with a fast tongue and one hit song on
the radio. You … well you were pretty much the same. Your boy asked me if I
would spit some bars on your song. I said no. Then walked into the studio and
met you and instantly had a change of heart. Fast forward to 2yrs later,
tumekuwa.
You’ve got the
biggest song in the country #Wivu and a multi million dollar brand #AfricanBoy
and as for me well … kitu kimoja hakijabadilika though. Kwako sisikii.
Lol!
Lakini hayo
yoteee ni mifano tu ya jinsi gani ukiwa na mahusiano na mtu anayekujenga
kifikra na vinginevyo maisha yako yanaweza kukaa sawa. Siwezi kueleza ni jinsi
gani uwepo wako katika maisha yangu yamenibadilisha na kunikuza na kuniboresha.
All things are God’s design. Namuomba Mungu akuongoze and akupe maisha marefu
sana sana sana. Maisha yenye mafanikio, afya bora na furaha tele. Una moyo wa
kipekee sana tofauti na mtu yeyote ninayemfaham.
Nasikitika kuwa
mbali na wewe leo hii lakini unajua nikipata, umepata na tunazidi kwenda #Juu.
Oh by the way kwa mashabiki wetu ngoma yetu ya kwanza ya pamoja inaitwa
#Juu Basi nisaidieni kumtakia mpenzi wangu Heri ya siku ya kuzaliwa."
#Juu Basi nisaidieni kumtakia mpenzi wangu Heri ya siku ya kuzaliwa."

No comments:
Post a Comment