Forbes wametoa orodha mpya ya wachekeshaji wanaolipwa fedha nyingi zaidi
duniani. Kevin Hart ndiye anayeongoza orodha hiyo akiwa amelipwa kiasi cha
$87.5 milioni kuanzia mwezi Juni mwaka mpaka kufikia Juni mwaka huu.
Nafasi
hiyo kwa muda mrefu imekuwa ishikiliwa na Jerry Seinfeld ambaye kwa sasa
ametupwa kwenye nafasi ya pili. Kwenye orodha hiyo pia yupo mchekeshaji wa
kike, Amy Schumer.
Hii ni orodha ya wachekeshaji wengine wanaolipwa zaidi.
1) Kevin Hart ($87.5 million)
2) Jerry Seinfeld ($43.5 million)
3) Terry Fator ($21 million)
4) Amy Schumer ($17 million)
5) Jeff Dunham ($13.5 million)
6) Dave Chappelle ($13 million)
7) Jim Gaffigan ($12.5 million)
8) Gabriel Iglesias ($9.5 million)
9) Russell Peters ($9 million)
10) John Bishop ($7 million)
2) Jerry Seinfeld ($43.5 million)
3) Terry Fator ($21 million)
4) Amy Schumer ($17 million)
5) Jeff Dunham ($13.5 million)
6) Dave Chappelle ($13 million)
7) Jim Gaffigan ($12.5 million)
8) Gabriel Iglesias ($9.5 million)
9) Russell Peters ($9 million)
10) John Bishop ($7 million)
No comments:
Post a Comment