Amedai
kuwa mastaa wengi wamekuwa wakitumika bure kufaidisha watu wengine na anadhani
ni muhimu wakaacha kujishusha kiasi hicho.
Anadai kwa upande wake yeye,
hafanyi kitu bure na kudai kuwa hata kuonekana kwenye saa moja kwenye party ya
mtu, ni lazima awe amemlipa.
“My standard rate is 3.5 million in
one night that including 30 minutes hosting, na sikai less than hour naondoka,”
Diva ameandika kwenye blog yake.
“Ifike stage celebs wajue value yao
na sio kutumika tu kwa faida ya watu wengine. Chochote unaona pia napost kwenye
account zangu za mitandao kinalipiwa., lazima ujue kama wewe ni maarufu lazima
ulipwe hata kutweet brand ya mtu mwingine,” ameongeza.
Mtangazaji huyo ana zaidi ya followers milioni 1.1
kwenye Instagram na amekuwa akiingiza mkwanja mrefu kwa kupost matangazo
mbalimbali
No comments:
Post a Comment