Utafiti mpya kutoka chuo cha Kings
mjini London,kilichowachunguza mapacha wa kike 1,205,unasema kuwa kijana aliye
na chunusi huishi masha akionekana mdogo ukilinganisha na watu wa umri kama
wake ambao wana ngozi nzuri.
Wataalam wanasema kuwa ni kwa
sababu watu waliio na acne wana kinga ya mwilini dhidi ya uzee.
Hiyo inamaanisha kwamba vitu kama
vile ngozi iliojikunja na ilikonda huonekana baadaye katika maisha.
Kwa nini?
Utafiti huo umechunguza seli nyeupe
zilizchokuliwa kutoka kwa mtu mwenye chunusi na kubaini kwamba zina kofia zenye
kinga katika mwisho wa kromosomu zake zinazowasaidia kutozeeka haraka.
No comments:
Post a Comment