Kiara Nirghin aliwashinda wanafunzi
wengine duniani kwa kujipatia ufadhili wa masomo wenye thamani ya dola 50,000
kwa ''kukabiliana na kiangazi kupitia chungwa''.
Kazi yake inajiri kufuatia kiangazi
ambacho kinaendelea kuathiri Afrika Kusini.
Kiangazi hicho ambacho ni kibaya zaidi kuwahi kutokea
tangu 1982 kimeathiri mimea huku mifugo ikifariki.
Kwa sasa anatumai kwamba mbinu hiyo
inaweza kuwasaidia wakulima kuhifadhi fedha pamoja na mimea.
No comments:
Post a Comment