Winga Mrisho Ngassa
amevunja mkataba na timu ya Free State Stars ya Afrika kusini baada ya pande
zote mbili kufikia makubaliano
Ngassa
alijiunga na klabu hiyo Mei 2015 ambapo alisajiliwa na kocha Kinnar Phiri na
kudondosha wino wa miaka minne kwa sasa mchezaji huyo yupo huru kujiunga na
timu yoyote.
Klabu
ya Free State Stars FC ya Afrika Kusini ilitoa barua ya kuvunjwa mkataba huo na
Meneja Mkuu Rantsi Mokena inaonesha mkataba huo umevunjwa tangu August 25,
2016.

No comments:
Post a Comment