Hakika nyota ikiwaka imewaka tuu akuna atakayezuia Msanii wa Nigeria,
Kiss Daniel ambaye hivi karibuni alikuwa nchini hapa, amesema alianza kumsikia
na kumfahamu Harmonize kabla ya Diamond.
Kiss
alifunguka hayo alipokuwa akiongea na Mo Faze Onlive TV baada ya kuulizwa
wasanii gani anaowapenda ndani ya Bongo.
Aliwataja
Diamond na Harmonize na kudai kuwa alianza kusikia nyimbo za Harmonize kabla ya
kusikia nyimbo za bosi wa msanii huyo.
“I love Harmonize,I
love Diamond,basically Diamond and Harmonize I love them both,they are really
doing good.Actually I heard Harmonize before I heard Diamond,then I heard that
Diamond is his boss,” alisema Kiss Daniel.

No comments:
Post a Comment