Inasema miwani hiyo iliyopewa jina
'Spectacles', ina nasa kumbukumbu za watu kupitia kamera ndogo.
Snapchat imejiongezea sifa kwenye
mitandao ya kijamii inayotumiwa kutuma ujumbe, zikiwemo picha na video ambazo
hufutwa baada ya kuonekana mara moja.
Lakini kifaa hicho kipya na kampuni
hiyo kubadilisha jina kutoka Snapchat na kujiita Snap, zinadhihirisha azma ya
kampuni hiyo kupita kiwango cha kuwa mtanadao wa ku chati.
Katika tangazo lake la biashara,
Snap inasema miwano hiyo ya kutuma video ina lensi ya ukubwa wa digri 115,
iliyo na upana zaidi kuliko kamera za kwenye simu za kisasa.
Na ina uwezo wa kurekodi video kwa hadi sekundi kumi kwa
mara moja.
Picha hizo zinaweza kutumwa moja
kwa moja kwenye mtandao huo wa kijamii ili mtu aweze kuzisambaza kwa wafuasi
wengine wa mtandao huo.
Mkurugenzi mkuu wa Snap mwenye umri wa miaka 26, Evan
Spiegel, ametaja miwani hiyo kama chombo kinachomuezesha mtu kuona kumbukumbuku
nzuri kama walivyoiptia kwa mara ya kwanza
No comments:
Post a Comment