zinaozodaiwa kuwa zile za kurusha mabomu,kufanya uchunguzi
pamoja na ndege ya kivita ,zilipaa juu ya Miyako,kati ya Okinawa na Miyakojima.
China imesema kuwa takriban ndege 40 zilihusika katika kile
inachokitaja kuwa zoezi la kawaida.
Ndege hizo hazikupita katika anga ya Japan,lakini hatua hiyo
inaonekana kuwa maonyesho ya ubabe ya China.
Hatua
hiyo inajiri wiki moja baada ya Japan kusema itashiriki katika zoezi la pamoja
na wanamaji wa Marekani katika bahari ya kusini mwa China.
Msemaji
mkuu wa Japan amesema kuwa taifa hilo linachunguza hatua hizo za China kwa karibu
No comments:
Post a Comment