Sugu na Faiza kabla hawajaachana
Msanii wa filamu, Faiza Ally wakati inaelekea siku ya birthday ya mtoto
wake Sasha, amefunguka na kueleza yamoyoni juu ya baba watoto wake, Mh Joseph
Mbilinyi ‘Sugu’.
Mwigizaji
huyo ambaye anajipanga kuachia filamu yake mpya ‘Baby Mama Drama’ amesema
ataendelea kumpenda Mh Sugu kwa kuwa bila yeye asingekuwa mama kwa sasa.
“Nakumbuka 2012 wakati kama huu
nilianza kuumwa uchungu wako mwanangu. Yaani nilikua na raha toka siku baba
yako aliyoniomba tuzae nilianza kukupenda kabla sijapata mimba. Nilipo pata
ndio uwii nilikua natamani siku ifike tuonane mwanangu sasa ndio nika zidi
kumpenda baba yako vibaya sana Hahhahahah,” aliandika Faiza Instagram.
“Nakumbuka siku moja na tumbo
kubwaa baba yako akaniangalia nilikua na chupi tu hahaha nilikua niko bize
nampangia nguo zake kabatini akaniambia sister du nime kukomesha nikamwambia aawapiiii
huja nikomesha nafurahi Kila step ya mimba yangu. Sasha Mpenzi wangu stori ni
nyingi sana siwezi kumaliza. Kiufupi tu toka Kwenye mimba yako nilikua na
furaha sana mpaka siku nilio kupata.Mpaka leo na mahaba ndio yanazidi juu yako
mwanangu. Baba yako ndio Kabisa nampenda mpaka sijielewi Kila niki kuangalia
najua bila yeye leo hii nisinge kuwa Na furaha hahahahaaa tulishirikiana
kitendo tukakupata naachaje kumpenda hehehehee. Asante baba Sasha Kwa kunifanya
niwe mama. Mungu akubariki katika Kila unalo fanya uendelee kuwa hai mwanangu
aendelee kuwa na baba yake, Asante dogo#asante sugu#Asante Joseph #asante mei
Asante baba Sasha … Hatujaonana zaidi ya mwaka#hatuja ongea zaidi ya mwaka lkn
haijawahi kupita siku sija kuzungumzia na sijawahi kukuacha kukupenda baby
daddy… Nakupenda Leo#kesho Na siku zote . Sasha birthdays
loading,
No comments:
Post a Comment