Klabu ya Real Madrid imemuongeza mkataba mpya mchezaji wao Gareth Bale
na kumfanya aendelee kubaki klabuni hapo hadi mpaka 2022.
Bale
ambaye alijiunga na klabu hiyo akitokea Tottenham Hotspur mwaka 2013.
Ameisaidia Madrid kushinda vikombe
vitano katika misimu mitatu ya nyuma ikiwemo ligi ya mabingwa Ulaya mara 2 huku
akifunga magoli 62 katika michezo 135.
Wachezaji wengine ambao wamesha
saini mikataba mipya ni Viungo Luka Modric na Toni Kroos.
Mkataba huo wa Bale unatajwa kuwa
wa Euro 600,000 kwa wiki huku baada ya makato ya kodi ikiwa Euro 350,000
No comments:
Post a Comment