Hizi ndio nyimbo zitakazokuwepo kwenye album mpya ya Alicia Keys - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, 31 October 2016

Hizi ndio nyimbo zitakazokuwepo kwenye album mpya ya Alicia Keys

      alicia-keys-here
Muimbaji wa RnB wa Marekani, Alicia Keys ameweka wazi nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu yake mpya ya ‘Here’.

Alicia amefunguka kwa kusema kuwa albamu yake hiyo itakuwa na nyimbo 16 huku mapema mwezi Oktoba, mwaka huu kupitia mtandao wake wa Twitter aliandika kuwa albamu hiyo itatoka Novemba 4.
Hizi ni nyimbo zitakazopatikana kwenye albamu hiyo.

1. The Beginning (Interlude)
2.“The Gospel
3. Pawn It All
4. Elaine Brown (Interlude)
5. Kill Your Mama
6. She Don’t Really Care_1 Luv
7. Elevate (Interlude)”
8. Illusion of Bliss
9. Blended Family (What You Do For Love) feat. A$AP Rocky
10. Work On It
11. Cocoa Butter (Cross & Pic Interlude)
12. Girl Can’t Be Herself
13. You Glow (Interlude)
14. More Than We Know
15. Where Do We Begin Now
16. Holy War

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here