GK:Awataka Wasanii warudi shule ili waache kupelekwa pelekwa - OREST NGOWI

Breaking

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday 11 October 2016

GK:Awataka Wasanii warudi shule ili waache kupelekwa pelekwa

jumaclick-blog-1
King Crazy GK amewataka wasanii warudi shule ili waache kuendeshwa kwenye muziki.
Rapper huyo amedai kuwa wasanii wengi wamekuwa wakipelekwa pelekwa na watu lakini kama wangekuwa na elimu wangeweza kujiamulia wenyewe cha kufanya.

“Wasanii warudi shule, wengi wamekuwa wakipelekwa pelekwa kwa kuwa hawana elimu. Kama ukiwa na elimu yako unaweza ukajiamulia mwenyewe cha kufanya kutokana na elimu uliyokuwa nayo na kikawa kizuri zaidi,” amekiambia kipindi cha Planet Bongo cha East Africa TV.

Rapper huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Mzuri Pesa’ ameongeza kuwa amekuwa akiwatumia madirector kutoka nje kwa kuwa wakija wanajua huku tunataka nini

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Responsive Ads Here