Mchezaji wa klabu ya
FC Bayern, Franck Ribery amesaini mkataba mpya na klabu yake ya soka ya FC
Bayern, ni ongezeko la mwaka mmoja.
“Hii klabu na huu mji
umekuwa ni nyumbani kwangu nje na ndani ya dimba!” alisema haya wakati
akihojiwa baada ya kusaini nao.
Kwa mkataba huu sasa atakuwa nao mpaka mwaka 2018, hii ni habari njema kwa mashabiki wa klabu FC Bayern.
Kwa mkataba huu sasa atakuwa nao mpaka mwaka 2018, hii ni habari njema kwa mashabiki wa klabu FC Bayern.
No comments:
Post a Comment